Natafuta mtu anayefanya kazi ya Tourism

Maji Chai

JF-Expert Member
Dec 8, 2018
265
362
Wakuu habarini za muda huu,

Natafuta mtu au watu ambao wanafanya kazi katika sekta ya utalii,naomba unicheki inbox nina swala nahitaji msaada.

Nawakilisha
 
Swala gani Mkuu??

Tourism kwenye nini?... Safari, Zanzibar, Mountain au wapi??

Nadhan umelizungumzia kwa uwanda mpana sana.
 
Tourism ni uwanda mpana sana ungeeleza unataka mtu wa tourism kwa upande upi? Travel and tourism management including Air ticketing, Tour guides and tour drivers, hospitality, Security nk
 
Nataka accountant ambae huwa anadeal na maswala ya kutoa control number
 
Duuh!, Nadhan ungeenda moja kwa moja kwenye shida yako huenda ukasaidiwa haraka. Binafsi sijakuelewa.

Ila ngoja tuwasubiri wengine waje!...
 
Back
Top Bottom