Natafuta mshirika kuanzisha learning center eneo la Pugu, Dar es salaam

Bensoy

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
576
621
Salamu wapendwa.

Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam.

Jengo ninalo na liko centre nzuri

Pia nina waalimu wa somo la kiingereza kifaransa.

Waalimu wa nursery na baby care sio shida kuwapata.

Nimeshaanza kukarabari jengo langu kwa ajili hio.

Lengo langu ni kuwa nafundisha kila aina ya tuition na nursery school.

Kama upo tayari uje utembelee eneo na tutaandikishana mkataba kisheria kabisa.

Nyumba naimiliki mimi.

Wasiliana nami 0719794789
 
Habari, ili mtu awe mfanyabiashara mwenzako anatakiwa kuwa na mtaji wa shillingi ngapi?
Hapo ndo kwa discuss. Kama tukiweza kuwa na yale mahitaji ya lazma tutaweza kuamua kuanza huku tukiongeza mtaji kidogo kidogo kulingana na namna tutakavyo panga maana kuoanga ni kuchagua
 
Hahaha, mimi nina viti, meza, ubao.. sasa sijajua wewe upande wako.

Alafu umesema upo Arusha kwenye ule uzi mwengine au una sehemu mbili?
 
hahaha, mimi nina viti, meza, ubao.. sasa sijajua wewe upande wako.
Alafu umesema upo Arusha kwenye ule uzi mwengine au una sehemu mbili?
Uzi gani. Labda ulinikot vby. Mimi nina eneo. Nyumba ambayo inahitaji vifaa
 
Weka figure bwana wewe...maneno matupu kwa wawekezaji unaonyesha unabahatisha
Hata nikiweka figure bado ninaweza kuwa nabahatisha maana bado yatakuwa kwenye maneno. Kama uko interested njoo site tuongelee kwa data
 
Back
Top Bottom