Natafuta mpenzi (KE)

Aziwero

Member
Jan 16, 2017
15
21
Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar.
.Elimu:Degree
.Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu.
Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26.
NB; Uwe Dar.
PM kwa ajili ya kupeana mawasiliano
 
Umesoma Mpka chuo una degree... Huna exposure Mpka uanze kuoa wanawake wa kugoogle?
Si utumie jamaa zako kukutafutia

By the way hapo ukipata ujue kafata Hilo duka la simu ka kweli unalo
 
Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar.
.Elimu:Degree
.Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu.
Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26.
NB; Uwe Dar.
PM kwa ajili ya kupeana mawasiliano
Hapo ulipotaja duka la simu huwezi kukosa mwanamke ila mke utakosa, siyo kwa kizazi hiki cha nyoka.

Hakika utafilisiwa nahakuna rangi utaacha kuona ukiwa unatafuta mke usiweke mali mbele au kuonyesha una aset ya kumvuta mwanamke. Onyesha wewe ni mpambanaji tuu inatosha
 
Rudi kijijini kwenu katafute mke, kama unataka kulia na kusaga meno baadae endelea na ilo zoezi lako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom