Mkuu usichokijua ni kwamba hao wa kanisani ndio wako humu pia. Mke mtakutana naye popoteMkuu mimi Nawashangaa nyie mnaotafuta wake mitandaoni
Mfano mimi binafsi ikifika Muda WA KUOA na Sina mwanamke ambaye Nina mahusiano naye na hivyo inanilazimu kutafuta mke basi nitafanya kazi moja rahisi na kwenda zangu Kanisani na angalia Watoto.. Asee sikufich Kanisani hukosi chombo cha ukweli na advantage kubwa unayo pata ni kwamba unapunguza migogoro ya tofauti za kidini Ila pia unaweza umbahatisha mwenye hofu na MUNGU maana sio wote wanaoenda kusali wana Nia kweli ya kumtafuta MUNGU.. The same applies hata Kwenye misikitini kutegemea na dini yako.. Kwanini uhangaike humu jf. Bahati mbaya ni ngumu ku match
Mkuu hebu njoo kwangu sasa hivi tuongee. Njoo pm sasa hivi, nadhani upo kwa ajili yanguMm npo tayari
MamboMm npo tayari
MamboMm npo tayari
Naomba mawasilianoMm npo tayari
Picha yako tafadhali.Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 nahitaji mwanamke wa kuanzia miaka 20-25 dini yoyote rangi yeyote awe mrefu na asiwe mwembamba Sana anipende kwa dhati. Elimu kuanzia kidato cha nne na awe WA kujituma Kama vipi ambaye anavigezo nicheki.
Uko sahihi kabisa mkuu!!!.Mkuu mimi Nawashangaa nyie mnaotafuta wake mitandaoni