MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 13,853
- 31,010
Tafuta miongoni mwao hao kwenye pichaUmri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
Mshahara mbegu..!!!Nipo hapa mkuu ila vipi mshahara sh ngapi? Maana hapo unatafuta kibarua na mke😛
Mbegu gani ? maana kutakua na mbegu za shamba na mbegu za watoto😀Mshahara mbegu..!!!
Za watotoMbegu gani ? maana kutakua na mbegu za shamba na mbegu za watoto😀
Yaani nipige kazi heavy ya shamba, malipo mbegu za watoto, no haiko fair, inabidi nilipwe kama kibarua kwanza kabla hatujatafuta hao watoto😀Za watoto
Anatafuta MANAMBA😂😂🤣🤣Nipo hapa mkuu ila vipi mshahara sh ngapi? Maana hapo unatafuta kibarua na mke😛
Ok, ukishalipwa halafu mazao yakavunwa, utayanunua ili ule?Yaani nipige kazi heavy ya shamba, malipo mbegu za watoto, no haiko fair, inabidi nilipwe kama kibarua kwanza kabla hatujatafuta hao watoto😀
Wee sii ulisema umeshafika 3rd floor mwenzio anasaka wa 2nd floorNipo hapa mkuu ila vipi mshahara sh ngapi? Maana hapo unatafuta kibarua na mke😛
Wanawake siku hizi ni wavivu...kazi wanayoiweza ni kusema "tafuta hela wee mwanaume"Katafute kijijini kwenu
Kabisa yani, ni bora atuambie kabisa mshahara wa huyo manamba😀😀Anatafuta MANAMBA😂😂🤣🤣
Huna dada mwenye uzoefu huo au dada zako elimu ya kidato cha nne hawana? Kwa kua charity huanzia nyumbani oa dada yakoUmri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
Hee si kasema kuanzia 2nd floor na kuendelea hadi 7th floor?😀😀Wee sii ulisema umeshafika 3rd floor mwenzio anasaka wa 2nd floor
Kula ilikua ni jukumu lake bana, so havihusiani ,anipe changu maisha yaendelee😀Ok, ukishalipwa halafu mazao yakavunwa, utayanunua ili ule?