jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,022
- 4,236
Habari,
Naomba niwatake wale wote wanaidhani mimi siyo muoaji au nipo hapa kupiga watu na kitu kizito kwa kulinganisha technical and fundamental analysisi ya trend za nyuzi zangu humu JF watoefikra hizo na watambue mimi nipo serious kutafuta mke mwema wa kuoa na pia naombeni mniombee nikamilishe dhumuni langu.
Pia natoa shukrani za dhati kwa wale wote mliojitokeza kunisaidia zoezi langu Mungu awabariki sana naomba tuendelee kusaidiana mpaka pale nitakapo fanikisha kupata mwanamke mke mwema ninaye mtaka.
Wale wadada mliokuja pm na tukabadilishana mawasiliano na kujuana zaidi na pia mlioonyesha mwitikio sahihi kwangu kwa kua mke nipende kusema vigezo hamkua navyo na hivyo msife moyo Mungu atawapa hitaji la moyo wenu.
===
RE-NATAFUTA MWANAMKE, MKE MWEMA WA KUOA
Ndugu zangu mimi ni kijana miaka 32+, sina mtoto, Mkristo na mpambanaji.
Natafuta mwanamke wa kuoa
SIFA NI ZILE ZILE
*Asiwe na mtoto au kutoa mimba au kutumia dawa za uzazi wa mpango
*Awe mke mwema kwangu
*Mama bora kwa watoto Mungu atakao tujalia
*Awe na umri wa miaka 18-25
*Awe mvumilivu maana maisha ni kupanda na kushuka na asiwe na tamaa mbaya
* Asiwe na tatoo, asiwe katiboa masikio zaidi ya mara mbili, asiwe katoboa pua au kitovu, asiwe mfuasi wa nywele na kucha bandia
* Awe anajipenda yeye na kujikubali jinsi alivyo kwani napenda mwanamke natural.
*Awe mkristo ila kama ni muislam akubali kufata upande wangu.
Nimeamua kutafuta na hapa maana naamini waliopo mtaani pia wapo hapa,
wazazi, marafiki na ndugu za binti mwenyesifa tajwa hapa kama mtaguswa msisite kutuunganisha na waahidi nipo serious sana na sitowaangusha
Mwenyezi Mungu naomba mkwe mwema, Amina.
Karibuni.
Asanteni.