Natafuta mihogo iliyovunwa

xfactor

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,511
1,289
Heshima yenu wakuu

Kama kichwa kinavyo jieleza, natafuta mihogo ninunue ambayo imesha vunwa
 
Embu weka mnofu kwenye thread..mihogo ya kununua au unataka bure...
 
Mbegu inaitwa kikapu tele na haina mizizi na ni milaini,, bei bado sijapanga ndo naangalia soko likoje,,, wewe waweza nipa bei yako alafu nitapima,,
 
Mbegu inaitwa kikapu tele na haina mizizi na ni milaini,, bei bado sijapanga ndo naangalia soko likoje,,, wewe waweza nipa bei yako alafu nitapima,,
Hahahahaaaaaa....!!!
yani wewe una bidhaa alafu hujui unauzaje..!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…