Natafuta mdada mwenye hitaji la kujenga familia iliyo bora

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,177
6,337
Natumaini ya kua hamjambo jioni hii.

Wapendwa katika Bwana leo ni siku ya pili nimekua nikiota ya kua niatapata mke mwema kupitia jukwaa hili. Mimi ni kijana wa kiume miaka 29 mkristo, naomba mdada mwenye hitaji la kujenga familia iliyo bora aniPM ili tuweze kuishi pamoja.

Kigezo kikubwa ni awe mwenye kujitambua na kujua nini maana ya ndoa, miaka 24 adi 27 mengine tutaongea.

Karibuni sana.
 
May the Lord grant your heart desire in Jesus name.. Amen.. Thanks..
 
Kwa fraha ya maisha yako ya baadae MUOMBE MUNGU akuongoze kpata mke mwema kwa njia nyingne co hii ila km unataka wa mda utampata mda c mwing!
 
Kwa fraha ya maisha yako ya baadae MUOMBE MUNGU akuongoze kpata mke mwema kwa njia nyingne co hii ila km unataka wa mda utampata mda c mwing!

kwanini njia hii siyo nzuri? hizo njia nyingine si nitakutana na watu hawa?
 
Nimekudaka mkuu kumbe unawatafuta humu.nenda tanga wako wengi sana tena wakutaka kuolewa (wuod waaah)
 
Tofautisha mtu kujileta na mtu kumuona na kuanza kumchunguza mwenendo wake kabla yy hajakusona unataka nn kwake lkn hum ndan m2 kapata ugum wa maisha kdg ataamua kuficha makucha na kuvaa ngoz ya kondoo ila ukimuweka ndan anatotoa kucha akijua huwez kumuacha na hata km ukimuacha atahakikisha mali mmeigawana tena ww kwa kpunjika wakat ulisota kuipata, lkn pia kitu kingne tambua mke wako n yule anaejua mapngf yako na ww unajua mapngf yake mana yake naopendana, sasa ww boc utawezaje kmpenda mtu kwa lengo la kumuoa bila kumuona kwanza na kujua tabia yake? JMN NDOA INAHERUFI NNE TU NA KILA HERUFI NA MANA YAKE TUSICHUKULIE SIMPLE KIFILE, kosea njia utaulza kulko kukosea kuoa!
 
Interested person akishajitokeza si ndo watafahamiana vizuri wasipocope then wanaachana.
Mungu anaweza kutumia njia yoyote including jf
 
Mkuu humu ndani muna uzi alianzisha mwanadada mmoja kuwa anatufuta mme na nadhani anafall kwenye vigezo vyako, ebu tafuta huo uzi the muwasiliane may be you can build a family. Tena ni nyuzi mbili za wadada wanaotafuta waume
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…