Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali,
tuanze nawewe kwanza je wewe ni bikra yani hujawahi kunyanduliwa...???Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana.
Umri wake 25-29
Nipo Kilimanjaro Moshi mjini,
Nichek pm tuongee vizuri
ahaa! samahani siku nyengine muwe mnaandika na jinsia tusije tukakufuru bure!Mm ni mwanaume
Kuna jamaa hapa alikuwa anatafuta mke wa kuoa, vipi nikutumie namba yake PM uwe mke wake.Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana.
Umri wake 25-29
Nipo Kilimanjaro Moshi mjini,
Nichek pm tuongee vizuri
Kavuruga mkoa mzima nan atakubal🤣Hamna wanawake huko au unaogopa kuuawa
Hata kutembea kwako tu kunaonesha.Kwan we unanifahamu kabla? Nani kakwambia Sina kazi