Natafuta mchumba

dedytz

Member
Jun 25, 2022
19
13
Habari, ni matumaini yangu mko poa, kwa nia ya dhati kabisa nakuja kwenu kumtafuta mchumba ambaye tukiridhiana tufike hatua ya ndoa.

  • Mimi ni mkristo nampenda Yesu
  • Level ya elimu Diploma
  • Nina miaka 30
  • Sina mtoto
  • Uzito wangu 73
  • Naishi Dar

Sifa za mwanaume
  • Awe mkristo
  • Awe ameajiliwa au kujiajili
  • Awe muhitaji kweli
  • Mcha Mungu
  • Kama anakunywa asiwe mlevi
  • Mwenye 'all package' ya upendo
 
Habari.
ni matumaini yangu muko poa, kwa nia ya dhati kabisaaa nakuja kwenu kumtafuta mchumba ambae tukiridhiana tufike hatua ya ndoa .
Mimi ni mkristo nampenda YESU, level ya elimu diploma, nina miaka 30
sina mtoto.
uzito wangu 73
naishi Dar

sifa za mwanaume

awe mkristo , awe ameajiliwa au kujiajili ,awe muhitaji kweli,mcha MUNGU,km anakunywa asiwe mlevi , mwenye All package ya upendo .
kapicha hunako?
 
Hpn Jf it is very difficult to achieve goals for a serious person.
JF ndo Sehemu nzuri sema hapa ukikosea kuandika Bandiko lako unaweza kukosa target
Mfano issue ya Kazi hivi unafikiri any matured man anaweza kuwa yupo tu bila kitu Cha kufanya for surviving

Then swala la umri, pia watu wana-doubt Sana ni vizuri ukayazingatia haya Mapema sio Rahisi Mtu kuwa na miaka 35-40 hasa hapa JF akawa Hana any serious relationship
 
Kwa kweli 35-40 huna serious relationship basi ujue huyo ni kitombi tuu kama mzabzab
 
JF ndo Sehemu nzuri sema hapa ukikosea kuandika Bandiko lako unaweza kukosa target
Mfano issue ya Kazi hivi unafikiri any matured man anaweza kuwa yupo tu bila kitu Cha kufanya for surviving

Then swala la umri, pia watu wana-doubt Sana ni vizuri ukayazingatia haya Mapema sio Rahisi Mtu kuwa na miaka 35-40 hasa hapa JF akawa Hana any serious relationship
Point , uko sahihi, lkn haohao Wanye miaka 30_50 huko sio Kwamba hajawahi kuwa na strong relationship, kuna vitu vinatokea ktk maisha watu wanatengana.
Then wapo wanaume wengi tu wako above 30 lkn wanategemea wanawake ndio maana tunaweka hiyo point ili aliye serious ndo asogee
 
Utafanikiwa but pray more to God usitaje umri na Kazi at the first .
 
Pray more to God ndo point kubwa nimebeba , hayo mengine ni vipaumbele vyangu nisiwe mnafiki, hivi ktk vigezo me nina vigezo hapo,sijataja kazi ya mtu pia siwezi date na mtu ana miaka 20 am sorry .I need serious relationship sio kucheza
 
Uko dar?
 
Habari, ni matumaini yangu mko poa, kwa nia ya dhati kabisa nakuja kwenu kumtafuta mchumba ambaye tukiridhiana tufike hatua ya ndoa.

  • Mimi ni mkristo nampenda Yesu
  • Level ya elimu Diploma
  • Nina miaka 30
  • Sina mtoto
  • Uzito wangu 73
  • Naishi Dar

Sifa za mwanaume
  • Awe mkristo
  • Awe ameajiliwa au kujiajili
  • Awe muhitaji kweli
  • Mcha Mungu
  • Kama anakunywa asiwe mlevi
  • Mwenye 'all package' ya upendo
Nipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom