Break-in
JF-Expert Member
- Jan 23, 2025
- 213
- 336
Wana Jf nimechoka na ukapela
Kwa ufupi tu
Nilioa na ndoa yangu imevunjika miaka mitatu iliyopita.
Tuligawana tulivyo chuma kila mtu ana maisha yake na kwake
Nimejipa time ya kujiangalia na ushauri wa wazee ninaona napaswa kuoa tena ni jenge familia tulivu
Vigezo
Umri:Miaka 30-40
Dini: Yoyote
Elimu:Form 4 >
Sifa zangu
Umri:40
Elimu:Shahada ya kwanza
Dini:Mkristo
Mkoa: Dar
Watoto :2
Kazi:Biashara
Karibu PM