Natafuta mbwa

German shepherd bongo watakudanganya tu. lkn pia mbwa hawa pamoja na sifa ya kuwa na akili nyingi kushindwa majibwa yenzie, Huwa na matatizo ya kiuno Mara kwa mara... sijui kama tuna madaktari wa mifugo sisi.
Napenda sana hii mijibwa.
mkuu asante sana kwa angalizo lako. Lkn je, hicho kiuno huwa kinakua na shida gani hasa?
 
Wapo kigamboni unaweza mchezo wanauzwa $ 2000 kwa mmoja na anakula msosi wenye thamani ya th 800,000/= per month unawza kucheza game nikupeleke?
 
Unataka kumla wa kuchoma au kuchemsha. Nauza mbwa na viungo vyake kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…