Natafuta Mashine ya kutengeneza chapati 300 kwa saa

Akali Trust

Member
May 11, 2019
9
6
Naomba msaada anayejua mashine ya kutengeneza chapati 200 kwa saa, anisaidie. Nimekuwa nikitumia chapat maker ila Haina uwezo huo, sasa natafuta ya kutengeneza chapati 300 kwa saa.
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    9.7 KB · Views: 6
Naomba msaada anayejua mashine ya kutengeneza chapati 200 Kwa lisaa , anisaidie.... Nimekuwa nikitumia chapat maker ila Haina uwezo huo, sasa natafuta ya kutengeneza chapati 300 Kwa lisaa...
Kiswahili huwa hakina neno linaloitwa "lisaa" wala "masaa", ungeweza kusema; 'Mashine ya kutengeneza chapati 200 kwa saa', ungekuwa sahihi.

Ova
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Acha kutapeli watu...mtahibiwa hela zenu zote
 
Mkuu samahani, kwenye hiyo chapatimaker round ya chapati unaipataje au mashine inatengeneza moja kwa moja?
 
Hii chapati maker Una uwezo wa kutengeneza chapati ngapi kwa saa mkuu, na inauzwa bei gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom