Natafuta machimbo ya simu za batani

Samedi Amba

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
227
178
Habari wanaJF,

Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection

1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili niweze kukagua simu zilizopo kwa ajili ya msururu ya wateja nlio nao.

2. Endapo wewe ni winga/winger, naomba details zote za machimbo yaliyopo. Nalipia kila connection, kwa hiyo njoo na proposal ya bei.

Tuongee WhatsApp. 0742308110
 
Natafuta simu za batani
Nje ya mada:
  • Nami natafuta wananunuzi wa jumla Jumla wa simu za batani (aina zote)
  • Sharti idadi ya simu iwe kuanzia 100pcs na kuendelea
  • Simu zinatoka drect china { alibaba, made-in-china }

Aina ya wateja ninaohitaji.

- Wafanya biashara wenye maduka ya kuuza simu, wenye lengo au nia ya kuagiza direct toka china.
 
Una ofisi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom