Natafuta laptop ya kununua yenye sifa hizi. (ni kwa ajili ya game la fifa 14)

mabumbe

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
298
40
Wakuu habarini.

Nimekuwa mpenzi wa game za fifa hasa hii fifa 14, laptop nliyokuwa nikitumia imeharibika.

naomba km una laptop min au yeyote ile yenye sifa hizi nitafute nkupe hela bajeti yangu ni laki tatu.

Recommended System Requirements • OS: Windows Vista SP1 / Windows 7/8
• CPU: Intel Core 2 Quad Q6600 2.4g / AMD Athlon II X4 600e 2.2g
• RAM: 2GB RAM for Windows Vista & Windows 7/8
• Disc Drive: DVD-ROM at 8x Speed
• Hard Drive: 8.0 GB, with additional space required for saved games and DirectX 9.0c installation
• Video: Nvidia 8800 GT / ATI Radeon HD 4650
• Sound Card: DirectX 9.0c Compatible
• DirectX: 9.0c
• Input: Keyboard, Mouse, Dual Analogue gamepad, VOIP Headset
• Online Multiplayer: 2-22 players, 512 kbits/sec or faster
• Single System Multiplayer: 2-5 players on 1 PC.

hizi ni system requirements za fifa 14 so uzinzingatie kiasi sio sana.

.....................................,.........,.............,,,,,,,,.....
Iwe.
HDD= 250GB AU zaidi
RAM= 2GB AU ZAIDI
CPU= DUO CORE AU ZAIDI
speed.
(2.0 GHz au zaidi)
wataalamu wa game za fifa au pes watanishauri.
 
Kaka mabumbe specs ulizo taja na bei kidogo haviendani, nadhani ata wewe unalijua ilo.
 
Last edited by a moderator:
Nina hp mbili moja centrino duo core na nyingine centrino ya kawaida zinakaa chaji zaid ya masaa 4 ziko katika hali nzuri bei ni laki 320 kwa 280 nichek kwa 0655991403 au 0715549945
 
Mkuu unayenunua laptop kwaajili ya gaming nakushauri ungecheki pia hiyo laptop unayonunua ina graphics card kubwa kiasi gani na iwe dedicated graphics angalau yenye mb 500 mpaka gb 2 isiwe na graphics card ya intel itakuzingua tu, huo ushauri wangu tu kama mpenda pc games
 
Mkuu unayenunua laptop kwaajili ya gaming nakushauri ungecheki pia hiyo laptop unayonunua ina graphics card kubwa kiasi gani na iwe dedicated graphics angalau yenye mb 500 mpaka gb 2 isiwe na graphics card ya intel itakuzingua tu, huo ushauri wangu tu kama mpenda pc games
Mkuu nina bajeti ya 700k ebu nishauri laptop gani itanifaa.
 
Back
Top Bottom