Natafuta kiwanja, nina laki 5

Pesa hiyo ni ya Yanga fc au yako sijaelewa vizuri. Si unajua jamaa wana hasira baada ya zile bao nne? Mpaka walipoteana. Shauri yako, hebu rekebisha vizuri.
 
Kama unatafuta kiwanja, ni cha kukodi utumie kwa muda au kununua kabisa?

Kama ni kununua kabisa Mhmhmh!...
 
Shamba unaweza pata huko bagamoyo wanauza laki tano unapata ekali nzima, elezea kidogo
 
Bila shaka ni KIWANJA CHA MESSAGE KWENYE SIMU. Nadhani nicho unacho maanisha
 
Kalam mpya kama uko sirious kweli nitafute kupitia 0743708675,ninauza kiwanja laki 5 kipo maeneo ya dumira mkoa wa morogoro kina ukubwa wa hatua 30 urefu na 20 upana.

Karibu xaana
 
Dah! Wewe unatia huruma kweli! Kwani lazima kila mtu ajenge mjini? Kama mambo magumu si urudi tu kijijini kuliko kusumbua watu?
 
Laki 5 usd au laki tano ambayo uki convert unapata dola 250?
 
Subiri kutapeliwa hiyo hela maana utadanganywa kuna kiwanja mahali kumbe unatapeliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…