Natafuta kiwanja Iringa Mjini

Kikinga

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,058
1,962
TAFADHALI NATAFUTA KIWANJA CHA KUJENGA NYUMBA IRINGA MJINI MWENYE NACHO ANI PM
 
Hapa mjini maeneo gani unataka? Wilolesi na Gangilonga kiwanja cha cha 35*25 andaa 40m. Kwingine bei inategemea na muonekano wako.
Karibu.
 
Kiwanja kipo manispaa ya Iringa karibu na mradi wa ujenzi wa nyumba za PSPF eneo la Kitwiru block J kimepimwa na kina hati zote za manispaa ukubwa 1200 metres square.
Bei milioni 25 kama upo willing nicheki PM.
 
kipatikane sehemu nyinginezo lakini sio bararabara ya kuja ipogolo
 
Kiwanja kipo manispaa ya Iringa karibu na mradi wa ujenzi wa nyumba za PSPF eneo la Kitwiru block J kimepimwa na kina hati zote za manispaa ukubwa 1200 metres square.
Bei milioni 25 kama upo willing nicheki PM.
Ahasnte mkuu nataka cha kawaida tu cha kujenga nyumba ya kuishi kiwe kokote lakini sio barabara ya ipogolo
 
Nenda manispaa mkuu muulizie mtu anaitwa Abdallah yeye ni mpimaji viwanja na anajua viwanja kote vya iringa... ila nakushauri nenda ngelewala aiseeehh ni kuzuri sana watu wameporomosha nyumba ila umeme nasikia ndiyo bado ila maji ni bwerereee
 
Ahasnte mkuu nataka cha kawaida tu cha kujenga nyumba ya kuishi kiwe kokote lakini sio barabara ya ipogolo
Ok, ila hapo nilipokuelekeza ni pazuri sana, barabara za manispaa kati ya viwanja zimeshatengenezwa kifupi ni uzunguni ya baadae.
 
065 778 5286 uyo jamaa ni dalali maarufu Iringa anaitwa Nyambala au mjomba mimi alinisaidia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…