Natafuta kiwanja Dodoma

Canto

Senior Member
Sep 27, 2014
110
41
Mwenye kiwanja Dodoma mjini kuanzia sq.m 1000, maeneo ya njedengwa au ilazo. Kiwe tambarare
Dalali sihitaji, makubaliano kati yangu na muuzaji mwenye kiwanja
 
Andika vizuri hicho kima cha pesa, ndo shilingi ngapi hiyo??
 
Kiwanja cha square metres 1000, bei maelewano.
 
Mwenye kiwanja Dodoma mjini kuanzia sq.m 1000, maeneo ya njedengwa au ilazo. Kiwe tambarare
Dalali sihitaji, makubaliano kati yangu na muuzaji mwenye kiwanja
Kipo ilazo ila ni sqr. 900 bei 25mil
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…