Natafuta kiwanja Bagamoyo Road

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
Kwa ajili ya kujenga makazi. Kisizidi 10mil na malipo ni 5 days nikishakipenda. Mwenye taarifa ani pm tafadhali.
 
Kwa ajili ya kujenga makazi. Kisizidi 10mil na malipo ni 5 days nikishakipenda. Mwenye taarifa ani pm tafadhali.
Kunduchi Mtongani,
Tshs 7Million,
Cheki na huyu 0689 107 736
 
Kipo Bunju Mingoi 2Km toka barabara ya lami, ukubwa ni 25 kwa 40..Bei ni 10Mil punguzo dogo naweza kutoa. Nicheck kwa namba hii 0682 338065
 
Ninacho kelege 20 *20 Kwa 6 milioni karibu sana Whatsapp yangu 0778080031
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…