Hili si tangazo la kazi bali natafuta kijana mwenzangu ambae ni programer na yupo kwenye app & web dev.
Nimegraduate last year, computer science, hata kama huna degree ya computer science na wewe ni self taught hii inakuhusu
Lengo ni kujiajiri, itakuwa vyema zaidi aki cover backend, Software development became such a big field that there is no/less possibility for someone to be such thing as full stack developer, There are just too many things going on in all of those fields to keep up with all of them.
So nimeona siwezi kuwa full stack dev, inawezekana lakini ni kazi ngumu, binafsi kufahamu php,html,css, na javascript sichukulii kama ni full stack ambapo inabidi uwe specilist wa front end na back end.
Nimeona ni ta risk afya hasa kutumia muda mwingi kwenye screen kusoma na kufanya kazi endapo nikiwa full stack dev, kwa maana kusoma kwenye programming hakuishi, kila siku kuna kuja teknolojia mpya.
pia nimeona ubunifu na ufanisi wa kazi utakuwa mdogo kwa sababu ya kufanya kazi kwa masaa mengi, pia huwezi jua vitu kwa undani tokana ni kichwa kimoja inabidi ufanye kazi nyingi per given time.
Nisiongee sana
Nahitaji mtu tuwe kama team, ili tusaidizane kufanya kazi za web and app dev.
kikubwa ni mtu awe na passion na asiyechoka kujifunza.
Source za material ninazo almost courses nyingi sana hasa udemy naweza zipata so nakutumia tu kwenye google drive pia vitabu vinapatikana.
Sio lazima awe na uelewa mkubwa wa back end dev, naamini kwenye kujifunza zaidi atakuwa vizuri ukizingatia anakuwa specialist wa back end.
Kama kuna mtu yupo tayari anicheki inbox, nataka tuanze from scratch kutengeneza portfolio na kutafuta kazi.
Tunaona kuna mambo mengi sasa kuna static site generatrs, kuna library za frnt end kama react, kuna mambo kama server side rendering kama nextjs, kuna css frameworks kama tailwind na bootstrap n.k
Kwenye back end pia kuna mambo mengi siwezi orodhesha yote.
kikubwa nahitaji kijana mwenzangu ambae ana passion na hiki kitu, uwezo mkubwa wa kujifunza kwa haraka na mwenye ubunifu, sijali kama hajawahi fanya project yeyote.
Mimi sio mwajiri bali natafuta mtu ili tujiajiri, atakayetuajiri ni wateja tutakaopata.
Baada ya makubaliano kutengeneza team, tutajadili mambo mengi kuweka vitu sawa, pia kama atahitaji naweza msubiri kwa muda walau mwezi ili ajiweke vizuri zaidi tayari kuingia kwenye hii field.
Tutajadili mambo mengi ya kufanya na kubadilishana mawazo mbali mbali.
Ni team so tutafanya kazi remotely kwa maana kuna tools nyingi mno kuwezesha hili, kikubwa mawasiliano.
Kutakuwa na ubunifu mkubwa na ubora wa kazi, pia kutumia muda mdogo hasa mkigawana majukumu, inakuwa ngumu kwa mtu mmoja.
Nachohitaji, mimi tayari nina knowledge ya front end na basics za backend, pia awe na knowledge deep kwenye back end na basics front end, hapo tutafanya vitu vizuri sana.
Langauge hasa php kwa maana bado ina soko japo kwa sababu umeamua kuwa back end dev itakuwa rahisi kusoma na nodejs kwa maana vitu vinarandana kuliko back end ku deal tena front end.
Hata wordpress sasa ina lipa vizuri hasa ukiwa deep, mfano plugin dev, na unaeza fanya maintenance n.k, wanao design wamekua wengi na hawapo deep.
Kwa mgawanyo huu ni dhahiri app na web apps itakuwa na urahisi kufanya, so tutatengeneza pesa nzuri tu tokana na research niliyofanya
Mimi huku nita deal na front end libraries, ui designing, web dev, app ui designing & dev n.k, so kila mmoja atakuwa muhimu kwenye field yake, wewe una deal na hosting, servers, mambo ya heroku na digital oceans, amazon servers, ku code backend n.k hayo ni juu yako kikubwa kazi ikamilike.
Kwa maswali zaidi njoo inbox, au kama upo interested pls usisite kuja inbox.
Mimi pia ni mtafutaji kama wewe, tutaanza hatua ya kwanza pamoja, japo nimefanya kazi chache nikalipwa ambazo ni local, siwezi sema ni expert.
Kama umevtiwa na hii idea pls usisite kunicheki pm.
ahsante.