kujiajir sio mchezo kaka kwanza uwe na idea pili uwe na mtaj hivyo vikubwa sasa kama unakimoja unajiajil vipdegree ya uchumi alafu bado unasubiri kuajiriwa mkuu? anza kujiajiri huku unatafuta kazi, itafika muda utakua unapiga hela hadi hiyo kazi utakua huitaki tena.
hii kauli ya jiajiri hii!...itizame kwa jicho la nne,nijiajiri nawakati hata elfu hamsini ya kuanza hata kuchoma maandazi sina?degree ya uchumi alafu bado unasubiri kuajiriwa mkuu? anza kujiajiri huku unatafuta kazi, itafika muda utakua unapiga hela hadi hiyo kazi utakua huitaki tena.
we unaejua kujieleza elezea sasa.....Nahitaji kazi km unayo niite nije nifanye kazi mbali na kazi za ndaniHujui hata kujieleza ndg yangu
ulichosema uko sawa mno!..nina idea zipo na nishaziweka ktk maandishi, natafuta fund imekuwa ngumu kupataKu
kujiajir sio mchezo kaka kwanza uwe na idea pili uwe na mtaj hivyo vikubwa sasa kama unakimoja unajiajil vip
Nahitaji kazi mbali na Kazi za ndani. Hujaelewa nini?U house girl unamaanisha unavosema kazi za ndani au ??
kuna kazi ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kuanza. ukiuza hiyo smartphone yako ukapata laki 2 tu basi unaweza kuanzisha ka kibiashara chako. tatizo wa tz mnataka muanze na mtaji wa million 10 kwenda mbelehii kauli ya jiajiri hii!...itizame kwa jicho la nne,nijiajiri nawakati hata elfu hamsini ya kuanza hata kuchoma maandazi sina?
Nikopeshe mtaji nipige kazi,tafadhali.
Mkuu hauitaji ndoa???Habari wakuu
Jamani mimi natafuta kazi mbali na kazi za ndani zilizobakia na kazi halali yoyote naweza fanya ndani ya mkoa wa kilimanjaro (hasa moshi mjini)
Nina degree ya uchumi wa biashara na diploma ya uhasibu wa ushirika.
Nahitaji kazi, mie ni jinsia ya kike
Asanteni.
simu nayotumia niliinunua zaman mno kias kwamba kwasasa nkiuza labda elfu hamsini,imechakaa.kuna kazi ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kuanza. ukiuza hiyo smartphone yako ukapata laki 2 tu basi unaweza kuanzisha ka kibiashara chako. tatizo wa tz mnataka muanze na mtaji wa million 10 kwenda mbele
Ndoa naitaka mno ila SI SASAMkuu hauitaji ndoa???
Nataka nikuoe
0683666702 nichekwe unaejua kujieleza elezea sasa.....Nahitaji kazi km unayo niite nije nifanye kazi mbali na kazi za ndani
Wewe mwenyewe hapo utakuta umeajiriwa... Wabongo kwa ujuaji banadegree ya uchumi alafu bado unasubiri kuajiriwa mkuu? anza kujiajiri huku unatafuta kazi, itafika muda utakua unapiga hela hadi hiyo kazi utakua huitaki tena.
Shukrani Mkuu nakuchek sasa hivi.0683666702 nichek
ok lets say nimeajiriwa. so it means nipo financially stable. huyu analalamika hana ajira, mie kumpa ushauri wa kujiajiri siruhusiwi kisa tu mie nimeajiriwa?. aisee kweli wa Tz tuna safari ndefu.Wewe mwenyewe hapo utakuta umeajiriwa... Wabongo kwa ujuaji bana