Habar wakuu wa JF
Mim ni msichana wa miaka 23 naishi DSM Nina fani ya ukutubi ( librarian)
1. Ninauzoefu na fan niliyosome for 2yrs
2. Ninauzoefu na kazi za stationary and secretarial services
3. Ninauzoefu na kazi ya E-Money, CRDB agent and NMB agent pia . Hizo ni baadhi ya kazi ambazo Nina experience nazo na sio uzoefu wa kubabaisha .
Kwa mawasiliano ni PM