ISAYA ELINEEMA Member Jan 5, 2015 47 19 Jun 14, 2017 #1 Mimi naitwa Rehema naishi Dar, Elimu yang ni Kidato cha nne naomba kwa yeyote anayeweza kunsaidia kupata kazi hasa ya Dukani, Supermarket, Hotelin n. k anipm. Na Mungu awabariki sana sana
Mimi naitwa Rehema naishi Dar, Elimu yang ni Kidato cha nne naomba kwa yeyote anayeweza kunsaidia kupata kazi hasa ya Dukani, Supermarket, Hotelin n. k anipm. Na Mungu awabariki sana sana
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,136 Jun 14, 2017 #3 Hilo jina la Isaya ni la nani? au unamwombea mchepuko
ISAYA ELINEEMA Member Jan 5, 2015 47 19 Jun 17, 2017 Thread starter #4 Hilo n jina tu jaman, lakin naomba mwenye nia ya dhat anisaidie jaman
Computer Expert Member Jun 12, 2017 11 22 Jun 18, 2017 #5 Dragoon said: Hilo jina la Isaya ni la nani? au unamwombea mchepuko Click to expand... Hahahaha