Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT

CFX

Member
May 14, 2019
38
36
Habari wana jF,
Majina: Rashid
Jinsia: Kiume
Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam

Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi.
Nina Uzoefu Sehemu hizi

1. Graphics Designing
2.Data Clerk
3.Photographing
4.Marketing (Digital Marketing)
With Excellent knowledge on computer program kama presentation, Database na Nyingine nying

Nipo tayari kufanya kazi yoyote ninauwezo wa kumaster kazi yoyote kwa Muda mfupi

Natanguliza Shukran
Mawasiliano:
Simu +255 627 225 627
Email: nyamkungarashid@gmail.com
 
kama una kompyuta ni ofisi tosha .huwa na jiuliza hivi IT umesoma unashindwa hata kujiajili.
 
Nakuombea lakini pia naweza kukucheki
 
kama una kompyuta ni ofisi tosha .huwa na jiuliza hivi IT umesoma unashindwa hata kujiajili.
Wewe tema mate subiria Kama hayajakukuta yatakuja kukuta yeyote wa karibu yako ili uone anavyoshindwa kujiajiri ili ufahamu ndugu. Kwanza unajua bando saivi likoje na je unajuaje labda Kama anashindia mlo mmoja na smt siku inapita bila ya kuweka kitu tumboni.

Kama njia imenyooka kwako usidhani kwa kila mtu Yuko Kama wewe. Pia waweza kuwa na uelewa fulani ambao mwenzako Hana. Hebu Sasa muelekeze namna ya kujiajiri.

Unamuona Mavura bado anapewa vyeo ubalozi huko Korea tokea awamu ya nne.

Je, Hana mtaji wa kujiajiri. Ana makinda umemuona alivyostaafu alipopewa shavu lakini.

Yule mama anakosa Nini hapa duniani mpaka anapewa kile cheo. Angepumzika tu kijijini kwake anapalilia bustani,bwawa la samaki na kuku wa kienyeji na matunda analima anakula taratibu bila ya stress zozote.mana kwanza Kodi anazopata tokea kwa majengo unajua kwa mwezi Kuna graduate hata afanye kazi mpaka astaafu hawezi kuipata iyo hela.

Yaani bana watu wengine utadhani Ni watoto wa mfalme wa Bahrain.

It pains a lot mpaka jamaa anaongea ivyo unakuta hata kibarua Cha zege hapati Mana na wao wapo timu ukienda wanakuambia tunachukua tunaofahamiana.
 
Habari wana jF,
Majina: Rashid
Jinsia: Kiume
Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam

Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi.
Nina Uzoefu Sehemu hizi

1. Graphics Designing
2.Data Clerk
3.Photographing
4.Marketing (Digital Marketing)
With Excellent knowledge on computer program kama presentation, Database na Nyingine nying

Nipo tayari kufanya kazi yoyote ninauwezo wa kumaster kazi yoyote kwa Muda mfupi

Natanguliza Shukran
Mawasiliano:
Simu +255 627 225 627
Email: nyamkungarashid@gmail.com
Kwa nini pia usijaribu upwork umeiva jamaa
 
Back
Top Bottom