Tatizo liko wapi?😂😂Fanya marekebisho kwenye uandishi tafadhali
Hakuna tatizo kubwa linaloisumbua nchi yetu kama watu kukosa umakini katika mambo wanayofanya, kulipua a.k.a. bora liende. Na ukitaka kupima umakini wa mtu unaangalia details ndogo ndogo. Anayefeli kwenye details ndogo ndogo basi hata mambo makubwa atakosea. Imagine mtu anasoma mpaka chuo kikuu lakini anaandika ''halusi'' badala ya ''harusi''.Kama mnasaidia tuoeni mambo ya grammar mwachieni rasi Simba lugha ya watu iyo
Connection! Nimejabu kutuma barua hazijajibiw mwez w 4 huu toka niombMwamba unaongea lugha nne halafu unakuja kuomba kazi huku wakati huko Moshi ulipo ndio home of tourism.Are you serious mjomba?
Si uende kwenye makampuni ya utalii ukaombe kazi huko kwani hizo lugha unazozijua zitakubeba pakubwa kama kweli unazijua.
Hii nchi ni ngumu wala simshangai,mimi nimetuma applications mpaka nimechokaMwamba unaongea lugha nne halafu unakuja kuomba kazi huku wakati huko Moshi ulipo ndio home of tourism.Are you serious mjomba?
Si uende kwenye makampuni ya utalii ukaombe kazi huko kwani hizo lugha unazozijua zitakubeba pakubwa kama kweli unazijua.
Hiyo ni kampuni ya ujenzi wa reli ya sgr kama sijakoseaBroo una maana gani hapo sijakupata frsh embu kwa kirefu kidg