Natafuta kazi yoyote halali

Goodvibestz

Member
Dec 9, 2021
17
38
Habari,

Mimi ni kijana Nina miaka 22

Nipo Mbeya - Tukuyu

Natafuta kazi yoyote halali,

Elimu yangu ni Diploma ya Local Government Administration

Asanteni

0657 629 641
 
Habari,

Mimi ni kijana Nina miaka 22

Nipo Mbeya - Tukuyu

Natafuta kazi yoyote halali,

Elimu yangu ni Diploma ya Local Government Administration

Asanteni

0657 629 641
Tunahitaji mfanyakazi kwenye kituo cha mafinzo ya ufundi stadi-Moshi Institute of Technology:

Awe na uwezo wa kufundisha English,Secretarial,Enterprenuarship ,communication.,....

Uwezo wa kutimua na muelekeza kweney program za computer nao ni muhimu

Kama upo tayari tuma cv na vyteti vyako kwa email mitcomputingtz@gmail.com au whatsap 0717157640

Kila kitu maelewano na unaaza kazi soon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom