Natafuta Kazi yoyote halali

sifael mgeni

New Member
Jan 10, 2017
2
0
Mimi ni msichana wa miaka 22,Niko moshi mjini, ninaelimu ya certificate ya journalism and mass communication na pia certificate ya hotel management.
 
Kazi yoyote halali ama kazi inayoendana na proffesional yako binti.Vp mtu akikwambie kuna kazi ya lodge kuhudumia na kufua utafanya.
 
Kazi yoyote halali ama kazi inayoendana na proffesional yako binti.Vp mtu akikwambie kuna kazi ya lodge kuhudumia na kufua utafanya.
Alishasema yeyote halali hujaelewa nini? Mwenzako hayuko quantised to her professional only kufanya wigo wa soko! Kufua lodge ni kazi pia!

Dada subiri waje, ila watakuomba namba ya Wasapu...

Njoo inbox nikupe mchongo fulani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…