Wakuu
Mimi ni muhimu wa elimu ya juu tangu 2018 course ya education, kwaujumla mimi ni mwalimu wa masomo ya geography na Kiswahili ambaye sina kazi ya kuniweka mini na kujitegemea
Najitokeza kwenye wanajukwaa kuomba kazi ambayo ni halali ndani au nje ya field tangu
Kwa sasa napatikana Dar es salaam