Natafuta Kazi ya Ukondakta wa Mabasi ya mikoani,Elimu Degree LeveL

Kila LA kheri ukipata unitafutie na mimi
 
Hizi kazi za ukondakta naona mabasi mengi sana wanaweka jinsia ya KE.. sasa kwa ID yako bila shaka we niME.. sidhan kama utafanikiwa katika hili..
All ze best lakn.. usichoke kujaribu.
 
Kazi inayokufaa ni kuwa konda wa lori la mzee wa chattle. Ila uwe makini na hodari wa kuruka, dereva wa lori hili anaweza kuliangusha lori wakati wowote! Bado kichwa chake hakijatulia! Ni mawenge.
 
mbuzi ni mbuzi
 
Humu JF kunasaidia kupunguza mawazo.
 
Mkuu kazi ya kulinda makinikia inalipa kaombe hiyo
 
Kazi inayokufaa ni kuwa konda wa lori la mzee wa chattle. Ila uwe makini na hodari wa kuruka, dereva wa lori hili anaweza kuliangusha lori wakati wowote! Bado kichwa chake hakijatulia! Ni mawenge.
Tunakupenda mkuu yasikutokee ya Ben Saanane
 
.....Nakushauri uwe unatumia muda wako mwingi pale ubungo kupiga story na makonda/madereva, sometimes unasaidia kupokea abiria. Baada ya muda watakuzoea kama rafiki yao na wewe vilevile utakuwa umejenga ukaribu nao...

Nakuhakikishia ukishafikia hatua hiyo siku moja moja utakuwa unakula trip nao za mikoani, finally unaomba kazi mabasi yananunuliwa kila siku na utapata. kwakuwa nimzoefu wa huduma kwa wateja jitahidi upate safari ndefu (Dar-mwanza, Dar-songea, Dar-Kagera, n.k), utapata uzoefu then ukichoka tafuta kazi njingine...
 
Amna kweli umeenda chuo kuchukua degree siyo kuisomea aliesoma ,ambaye ajasoma Kwa Tanzania ya Sasa wote tu sawa tu na unakuta ata ambaye """ajasoma"". Amejiendeleza zaidi kuliko aliesoma:::
 
Kiukweli jamii haina shida na cheti cha Bachelor Degree ulichokipata huko elimu ya juu, ila shida ya jamii ni kwamba utaongezaje thamani kwenye maisha yao!!!???,

Wasomi wangelijua hili, wangefunguka sana na kutafuta mishe mbalimbali na kuacha kabisa kulaumu kua kazi hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…