Natafuta kazi ya ualimu wa ICT

yas-mic

JF-Expert Member
May 25, 2016
472
728
Kichwa cha habari kinajieleza, hereby looking for teaching vacancy at any secondary school or college. Asante
 
Kichwa cha habari kinajieleza, hereby looking for teaching vacancy at any secondary school or college. Asante

Tafuta hata vicomputer viwili ufungue mafunzo ya computer mtaani itakuwa umejiajiri mwenyewe na uhitaji wa wanafunzi kusomea computer ni mwingi utapata fedha mkuu, siku hizi ajira ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…