Magidu
Member
- Oct 18, 2022
- 52
- 86
Salamu wakuu...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka26.Naomba nafasi ya ualimu katika shule yoyote ya binafsi(Primary au Secondary).
Nina diploma ya ualimu katika masomo ya Kiingereza na Kiswahili. Pia Nina utaalamu wa kufundisha na kupiga vyombo vya muziki(kinanda, tarumbeta na gitaa).
Natanguliza shukrani za dhati.
+255687756661