Salama, Kama unaweza pata makazi moshi tunaweza kukupa kazi ya staionary au zingine utakazo weza fanyaHabari,
Natafuta Kazi ya Stationery. Nina cheti cha Computer na nina uzoefu wa Kazi ya stationary and internet cafe kwa muda wa miaka 6. Mkoa;- Dodoma, Dar es salaam na Iringa.
- Mkoa ninao ishi kwa sasa ni Mbeya.
- Age 25