S Said sadart New Member Feb 14, 2017 2 1 Feb 16, 2017 #1 Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Ninaishi katika mkoa wa Singida, singida mjini. Ninaomba wakuu mnisaidie kupata ajira. Pia ninauzoefu wa petro/filling station. Ntashukuru kama mkini saidia hili tatizo langu
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Ninaishi katika mkoa wa Singida, singida mjini. Ninaomba wakuu mnisaidie kupata ajira. Pia ninauzoefu wa petro/filling station. Ntashukuru kama mkini saidia hili tatizo langu
D Dundo_Boy JF-Expert Member Dec 29, 2015 2,458 2,465 Feb 17, 2017 #2 Uzoefu wa filling station uliupataje?....tuanzie hapo kwanza, una kakiwango gani ka elimu?