Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

FravoB

Member
Jun 21, 2024
18
47
Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari.

Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya.

Asanteni 🙏
 
Back
Top Bottom