Natafuta kazi nimesomea kilimo na mifugo

dicksonjohn

Member
Feb 8, 2017
13
2
Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu natafuta kazi kwa fani hiyo niliyosemea

Natanguliza shukrani.
 
Kopo la mbegubza karoti ni elfu 6 nenda kanunue panda ndan ya miez 3 unavuna na kutoka kimaisha .by the way unawezaa uza dawa za mifugo? Na umesoma pharmacology and toxicology kweny coz zako nikutaftie dilii
 
Lengo LA MTU kutafuta KAZI huku akiwa na fani Fulani ,mfano huyu WA kilimo,sio kama kashindwa kuanzisha ilo shamba au kuuza hizo dawa za kilimo na mifugo ,lengo LA kupata KAZI Ili apate daraja LA kuvuka,akaanzishe shamba hiku ana mbegu,hana vitendea KAZI,hii ni miaka ya kilimo biashara,na kama unavyojua biashara yoyote inataka mtaji,,sawa kopo LA mbegu ya lorote ni 6000,napatabegu sina eneo,naweza kuwa na eneo LA kuotesha miche tu,vipi nitafanya kama nataka kuandaa shamba kubwa,kama hakuna mvua yanipasa kumwagilia,wapi mbolea,kwaiyo mbegu ni moja kati ya mahitaji ,,kwaiyo tunapochangia mawazo tusiwe kama tunawaponda wenye fani au awajui kuzitumia fani zao, its AFO MTARAJIWA
 
 
Kopo la mbegubza karoti ni elfu 6 nenda kanunue panda ndan ya miez 3 unavuna na kutoka kimaisha .by the way unawezaa uza dawa za mifugo? Na umesoma pharmacology and toxicology kweny coz zako nikutaftie dilii
Ndio kk niko vizur
 
Fact br
 
Mtarajiwa wa wap,au upo chuo gan saiv
 
Hivi watanzania tumelogwa na nani?
Umesomea kilimo, unatafuta kazi tena? au kazi ndo inabiidi zikutafute wewe?
Nafikiri unatafuta pesa sio kazi .... kazi zipo nyingi sana! Kazi moja ya kilimo inaanzisha nyingine kibao.
 
Tutor b mi nataka tuwe na wewe tuianze iyo KAZI moja kisha ianzishe nyingine ,mi mchango wangu ujuzi niliokuwa nao wewe,itabidi uchangie material zote za kilimo,,kwanza nataka tuanze na hotculture crops,kama ,tikiti maji,matango,bamia,nyanyachungu na mazao mengine, ,ukiwa tayari nicheki mi mchango wangu mda wowote ukinambia tunaanza, sim yangu ni 0655033431
 
,powaaaaa kk
 
Unaishi wapi? Mi niko Mwanza.
 
Uko mkoa gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…