hk20
Member
- Aug 1, 2020
- 53
- 67
Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6.
Expertise zangu
Naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata internship/kazi ya uhakika hata inayohusiana na telecom niweze kuendeleza taaluma yangu
Hapa napofanya Kwa sasa kampuni imeyumba kidogo financially na sites hawana.
hivyo ni team leader ndio anaenichukua kufanya kazi za kampuni nyingine(ndondo)
Vilevile hii kampuni inafanya installation tu ya vifaa kwenye towers, hivyo kuendelea ki ujuzi inakua ngumu
Natumai humu Kuna watu wa broadcasting, RF, cellular- core network/ switching exchange. etc.. ambao wanaweza kunisaidia nikapata kazi za huko. Nna uwezo wa kuelewa kazi Kwa muda mpufupi sana, na nipo tayari kujifunza zaidi
Naweza kufanya kazi mkoa wowote. Kwa sasa nipo DSM
Expertise zangu
Kwa standards za Huawei ( ISDP, WebICT)Radio access network installation 4G/5G both wireless and microwave link.
Site Survey 4G/5G
Data communication (LAN/WAN) -kwa hapa uzoefu si sana