Natafuta kazi/ajira nipo Dar

Bryson Jr

Member
Sep 24, 2023
15
29
Ni Kijana Smart

Umri wangu miaka 24

Naishi Dar Kimara

Elimu yangu ni Bachelor Degree ya linguistics (English & Kiswahili)

Pia ujuzi wa Welding ninao mzuri

Nina uwezo wa kufanya kazi nyingine nyingine halali kama zipo

Kwa sasa sina mishe yoyote natafuta mishe kama ipo nitashukuru waungwana
 
Nenda masoko yote makubwa utapata Cha kuanzia ukisubiria kikubwa.
Ajira hakuna bongo,Kama mnashamba au eneo uza upate milion 7 kajaribu Ulaya,USA, uarabuni,Korea kusini bongo utapoteza mda.
Mfumo wetu upo locked hausapoti wengi kumove tofaut na nje.
Maana bongo Sio Dili Tena.
Tusiogope kutoka nje ya nchi.
 
Mfumo wetu upo locked hausapoti wengi kumove tofaut na nje
Kwahiyo bongo sio dili? Sema hiyo mil 7 atoe mil 1 atoe hongo Apate Kazi then akope mil 30 then aombe likizo bila malipo kwanza aende ulaya kuseti mitambo
 
Usikae home Bora ukashinde njaa mjini penye watu utapata kitu sehemu yeyeto yenye watu wengi mfano mastand,sokoni, viwandani nk.
Msingi mkuu wa kutoka ni kutanua WiGo wa kupata taarifa mpya kila siku.
Utapata tu wazo
 
Kuhonga kazi utaliwa labda Kama zipo za kuchezea.
Nani mwenye garantii ya kukuuzia kazi.
Wengi wameliwa.
Cheza na information kiufupi hii nchi watu wengi wamekwama kwa kukosa Taarifa Ila Kazi huwezi kukosa Kama una Taarifa Sasa Jamaa ni Mwalimu wa lugha Tena English unadhani anakwama wapi wakati nchi na jamii ipo inapambana kutafta wataalamu wa kiingereza information is power hata Biashara huwa zinawapa faida sana wale wenye Taarifa sahihi

Baadhi ya watu wanapiga pesa kimya kimya na huwa hawatoi information ili wengine wapate so Taarifa ni muhimu
 
Kabisa kaka, nafuatilia sana Taarifa, nina apply sana lakin siwez kukaa tu idle inabidi nipate mahali nijishikize wakati mambo mengine yanaendelea
 
Nenda masoko yote makubwa utapata Cha kuanzia ukisubiria kikubwa.
Ajira hakuna bongo,Kama mnashamba au eneo uza upate milion 7 kajaribu Ulaya,USA, uarabuni,Korea kusini bongo utapoteza mda.
Mfumo wetu upo locked hausapoti wengi kumove tofaut na nje.
Maana bongo Sio Dili Tena.
Tusiogope kutoka nje ya nchi.
Ukiwa na milioni 7 inatosha kwenda nje...?
 
Nenda masoko yote makubwa utapata Cha kuanzia ukisubiria kikubwa.
Ajira hakuna bongo,Kama mnashamba au eneo uza upate milion 7 kajaribu Ulaya,USA, uarabuni,Korea kusini bongo utapoteza mda.
Mfumo wetu upo locked hausapoti wengi kumove tofaut na nje.
Maana bongo Sio Dili Tena.
Tusiogope kutoka nje ya nchi.
Naunga mkono hoja..

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom