Wewe huna majibu?
Tafuta shamba maeneo ya Kwedikwazu na Korogwe vijijini. Ila zingatia shamba liwe karibu na mobile(kiwanda cha kuchakata).Habari zenu wakuu,
Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro,
Yanayouzwa kwa bei rafiki
Asante
Morogoro maeneo gani mkuu?Morogoro eka moja Tshs 300,000/-
Maeneo ganiMorogoro eka moja Tshs 300,000/-
Nipe no ako mkuuTanga Heka 1= 400000 uko tayar?
Huku nakujua sana, changamoto huku mvua hazinyesha miaka mitatu , huko kiegeaMorogoro maeneo ya Kimamba wanalima sana mkonge.
Pia Morogoro mjini ukipita Tungi ukaelekea maeneo ya mbele zaidi, wanakuita Bwawani, Kiegea kwachagiza Ngongere na Sangasanga. Huko pia mkonge unakubali. Bei ya ekari moja ni kuanzia laki 3 na kuendelea