Natafuta Girlfriend

GOLD BOY

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
387
490
Habari za muda huu wanaJF, kama kichwa cha Uzi unavojieleza NATAFUTA girlfriend umri 23 Hadi 28 Mimi Nina miaka 26 sichague dini ila kabila asiwe muha Niko likizo Geita hapa makazi yangu ni MORO TOWN
 
Miaka 28 mkubwa sana kwako Mkuu. Kwa ushauri wangu anzia miaka 20 hadi 24.

Kwa umri wako rahisi kumcontrol mwanamke mwenye miaka 40 kuliko mwanamke mwenye miaka 25.

Niamini mimi Mkuu.
 
Miaka 28 mkubwa sana kwako Mkuu. Kwa ushauri wangu anzia miaka 20 hadi 24.

Kwa umri wako rahisi kumcontrol mwanamke mwenye miaka 40 kuliko mwanamke mwenye miaka 25.

Niamini mimi Mkuu.
Na mimi wa miaka 28 niende range yangu iwe wapi?
 
Dah!! Yaani una umri wa miaka 26, halafu unatafuta girlfriend!! Na wadogo zako sasa wa shule za msingi na sekondari watafute nini huko mtaani?

Similar Discussions

Back
Top Bottom