Natafuta gari IST,Raum,Carina TI

Mparee Halisi

Senior Member
Jan 4, 2014
104
8
Habari wanajamvi,nahitaji gari nzuri ya kutembelea kati ya zilizotajwa hapo juu,OFA yangu ni 5,000,000/=
Call/Whatsapp 0655874863
 
Hapo labda utapata Raum mbovu,IST na Carina sahau mkuu,alafu,na kama utabahatika kupata andaa namba za mafundi magari(just joking)
 
Wapo wanaouza kutokana na shida kamanda, na sio kwamba wao pia wanataka kuuza kwa hizo bei
 
Mtafute business man wa magari in Town @manuwar jamaa ana yard kama 7 hiyo ist atakuuzia hata Mil 4 mpya
 
Mkuu mtafute Mrangi na Munawar hao jamaa nina uhakika watakupa gari ama ushauri mzuri wa namna ya kupata gari unayohitaji.
 
jivute ofa ya 6m utapatiwa mkoko fasta kk.
usisubir had mtu mwny shida mwngne atakuuzia mkoko wake kishngo upande utaja pata nalo ajal bure
 
Natafuta gari numbers CU, CV, CW, CY, CZ or any DD numbers. Aina Raum au IST. Contact me if you are the owner at 0715520052. You can sendme some pictures. Mimi Nina bajet ya sh 7mil.
 
Ukipata mbili mkuu nistue na mm. Nahtaji kwa bajeti hyohyo

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…