Natafuta fundi simu (Hardware) wa kufanya nae kazi

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
145
Wadau kama kuna mtu yeyote ambaye ana ofisi maeneo ya Mbagala rangi tatu au Kariakoo Aggrey. Awe ni wa hardware namaanisha mimi nahitaji kuwa kitengo cha software (flashing, unlock).

Nipo na vifaa vyote vya kuflashia simu na nina ujuzi wa kutosha kwa lengo la tutafute pamoja baada ya kuafiakiana katika makubaliano ya ufanyaji kazi. Pia itakuwa sehemu ya yeye kujifunza pia.

Nawasilisha.

0687-387545 sms tu. Nitakupigia au private
 
Mkuu mie nipo mkoani ila napenda sana kujifunza flashing na unlock
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom