Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,157
- 13,381
Habari wana jukwaa!
Nahitaji kumpata fundi mbunifu na mahiri wa welding.
Nina kazi ya kutengeneza geti 2,Ila nahitaji Fundi ambaye nitampa picha za hayo mageti na kunipa bei yake tukielewana nataka aje kufanya kazi kwenye eneo husika.
Sehemu ya kulala na chakula juu yangu
Umeme upo site Ni yeye kuja na.machine zake na materials anaweza kupata jirani na site.
Mwenye uwezo na nia hiyo aje PM.
Asanteni.