Natafuta frame ya biashara ya uwakala, Dar es Salaam maeneo ya Kawe, Buguruni, Karume

nami nasubiria jibu hapa nianze mchakato huu naona ni mzuri

Hivi huu uwakala mtu yapaswa awe na kiasi gani kuanza?
Hii biashara ni nzuri ukianza na mtaji mdogo, halafu kadiri unavyopata uzoefu na mbinu za kuiendesha na hasa namna ya kupambana na matapeli, wezi na vibaka; ndiyo unaongeza sasa mzigo mwingine.

Kwa hiyo hata ukiwa na milioni moja, au hata pungufu ya hiyo! Bado unaweza ukaanza na miamala ya simu, halafu baadaye ukaongeza milioni zako chache tena ukaanzisha huduma za kibenki.
 
Asante mkuu, kwahiyo hiyo inatosha mitandao yote
 
Back
Top Bottom