Mkwezi1987
Member
- Nov 12, 2017
- 5
- 12
Hello Wana JF,
Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu.
Sifa ya Eva ninaye mtaka;
~ Awe na umri 28-35.
~ Elimu siyo kipaumbele changu.
~ Dini yeyote
~ Kabila lolote.
~ Akiwa na mtoto haina shida, akiwa hana napo sawa.
~ Awe na mapenzi ya kweli.
~ Awe tayari kupima afya.
Karibu sana tuanzishe bustani yetu ambayo tutashikamana kuitunza pamoja. Kwa mawasiliano njoo PM tuyajenge.