Natafuta Engine used 3s-ff toyota wapi napata

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
494
Wanajamii,

Nipeni msaada wapi naweza kupata engine hiyo kwa ajili ya matumizi ya gari la familia. Engine iliyokuwa kwenye gari ilo imeleta shida hivyo nabadili na kuweka hiyo 3s-ff kulingana na ushauri wa mafundi.

Ndg@mshana jr karibu hapa kwa karibu.
 
Samahani wakuu, ambayo kujua hili Subaru Forester zinatumia injini gani. Na je 3D injini au D4 zinautofauti upi katika ufanyaji kazi au ubora?
 
Nenda ilala laki 8 mpaka1.5m au check na be forward kitengo cha parts,
Manosa kuna mdau mmoja ametoa ushirikiano wa kutosha, tatizo ni jinsi gani ya kupata value for money, nipo pori mikoani na jamaa yupo DAR. unaweza saidia abc za kubaini ubora au uimara pasipo kuwasha, mafundi wana techniques nyingi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…