Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 656
- 1,693
Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu.
Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa napofikiria kuna watoto wapo hapa wamekuja likizo. naomba kwenye mwenye msaada.
Maana nilijaribu dudu kill naona hiyo inaua mbu tu na inzi kwa tandu na mende haina madhara maana nawaona bado wana zurura tu hapa home.