Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nimepewa jukumu la kutafuta nyumba kadhaa Geita zenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kupanga:
1. Yenye walau vyumba 2-3
2. Lazima kuwe na 2 bathrooms
3. Fence na pia fence iwe imezungukwa na miti kwa ajili ya kivuli
4. parking ya magari 2-3 ndani ya uzio wa nyumba. Nitahitaji picha kwa hatua za awali. Kama zipo tuma pm. Ahsanteni!