bukoba boy JF-Expert Member Jan 15, 2015 5,370 3,959 Mar 15, 2016 #1 Natafuta CPU used iwe hali nzuri. Vigezo: 4gb RAM,150gb HD or more iwe na HDMI port. Dau langu 120,000.
Natafuta CPU used iwe hali nzuri. Vigezo: 4gb RAM,150gb HD or more iwe na HDMI port. Dau langu 120,000.
Evarm JF-Expert Member Aug 30, 2010 1,992 1,537 Mar 16, 2016 #2 Nauza laptop yangu used ni HP Compaq presario CQ 50, 2GB ram, 150 HDD, Speed 2GHz. Ina webcam, ila betri haikai na chaji, pia feni ni Mbovu. Bei laki na nusu, pungufu unaongea
Nauza laptop yangu used ni HP Compaq presario CQ 50, 2GB ram, 150 HDD, Speed 2GHz. Ina webcam, ila betri haikai na chaji, pia feni ni Mbovu. Bei laki na nusu, pungufu unaongea