jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,529
- 9,547
Habari.
Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani.
Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1.
Mkataba ni mwaka mwaka yani kila mwaka ukiisha tuna renew mkataba kutokana na sababu zitazojitokeza kama gharama za uendeshaji nk.
Gharama za malipo kwa siku ni 170k kwa gari kubwa yani laki na sabini elfu na 130k laki na thelathini kwa gari ndogo kwa siku.
Gharama za mafuta na dereva ni juu ya mmiliki lakini gharama za dada ni juu yetu kama shule.
Shule ipo boko na wanafunzi watakuwa wanapelekwa mbezi,bunju,kimara,upanga nk utapewa quotation.
Kwa ambaye anaiweza tenda hii wasiliana nami 0659756647 calls/whatsapp kwa ajili ya negotiation na mengineyo