Natafuta chumba maeneo ya Mkwajuni, Kinondoni au maeneo ya Studio

mudy3401

New Member
Jul 2, 2024
1
0
Maeneo ya around hizo sehemu ila ikipatikana karibu na barabarani inakuwa unyama. Please need help, Pia offer rental yangu ni 50 up to 60. If self contained then top top 70. 70 for only self contained.

Unless otherwise ni 50 to 60.

Thanks
 
Back
Top Bottom